Description
Product ID: | 9781853399138 |
Product Form: | Paperback / softback |
Country of Manufacture: | GB |
Series: | Stepping Stones guides |
Title: | Kivuko cha Watoto |
Subtitle: | Mafunzo jeuzi kwa watoto na walezi walio athirika na VVU |
Authors: | Author: Gill Gordon |
Page Count: | 450 |
Subjects: | Development studies, Development studies |
Description: | Stepping Stones with Children (available in Swahili) covers a wide range of topics with a gendered and child-rights focused framework and is essential reading for social workers, community workers, health workers and NGO staff working on programmes with people affected by HIV; also researchers and academics teaching and advising in this field. Kupata VVU inaweza isiwe hukumu ya kifo, lakini madhara yake bado ni makubwa. Watu wengi wanaoishi na VVU wanakabiliwa na ukanaji na kutokuwa na hakika kuhusu mustakabali wao, na wasiwasi huu unaweza kuonekana kwa undani zaidi kwa watoto na vijana. Kivuko na Watoto kinawapa mashirika na watu binafsi kitabu ambacho wanaweza kukitumia kuwahusisha watoto walioathirika kwa VVU na walezi wao, kwa kutumia mazoezi yenye uwezo mkubwa wa kuwasilisha taarifa, kuchunguza kanuni, kugundua uwezo wao, na kila mtu binafsi na kwa pamoja kuunda njia madhubuti za ustawi. Vipindi vya mafunzo vinajumuisha mada nyingi kwa kuzingatia mfumo wa haki za mtoto na jinsia ikiwa ni pamoja na ustawi wa kisaikolojia na kijamii na uimara, uthubutu, ukiwa, upimaji wa VVU, kuishi vizuri na VVU, kuzuia unyanyasaji wa kijinsia, na kuwasaidia walionusurika na unyanyasaji. Vinashughulika na masuala yanayowakabili vijana wanaokua, ambayo kwa hakika yanaweza kuwa na changamoto kwa wale walioathirika kwa VVU – kuanzia urafiki shuleni, hadi katika uhusiano, ujinsia, na njia za kujipatia riziki. Kila kipindi kati ya vipindi hivi kinaeleza kwa uwazi madhumuni yake makubwa, na kuweka lengo na njia kwa kila shughuli. Shughuli nyingi zinatekelezwa na washirikikwa kushirikiana na makundi rika yao matatu tofauti ya watoto wadogo (umri wa miaka 5-8), na watoto wakubwa (umri wa miaka 9-14) na walezi. Wakati mwinigine kila kundi rika hufanyakazi katika makundi madogo madogo ya jinsi. Makundi rika hayo wakati mwingine hufanya kazi pamoja, au kujumuika pamoja kushrikishana walichojifunza na kujadili njia zingine za kuhusiana. |
Imprint Name: | Practical Action Publishing |
Publisher Name: | Practical Action Publishing |
Country of Publication: | GB |
Publishing Date: | 2016-04-15 |